Jalang’o reveals the main reason why Harmonize did not perform in Mombasa

Word has it that Harmonize’s manager did not come out clean about the main reason that led the bongo singer not perform in Mombasa on 31st.

Apparently the organizers decided to deduct some money from the fee that he was to get for the show. Well, according to Jalang’o the money that was deducted was to help fix the Range Rover which he had been rolling around with after landing in Mombasa.

Jalang’o

Reports indicate that Harmonize was responsible for the Range Rover’s damages since they were caused by his fans who were fighting to grab the money that the singer was dishing out.

 Harmonize alipofika Mombasa, mapokezi yalikuwa mazuri. Ikawa amesema azungushwe na Range Rover moja safi sana. Kwenda kuzunguka akarusha pesa pale Mama Ngina, aliporusha pesa watu wakaang’ang’ania, aliambiwa hii italetashida. Akasema hii mambo kidogo shida ikitokea sisi tutashughulikia. Aliporusha pesa tena Windscreen and side mirror ya ile gari ikapasuka. Wakasema watalipa. Sasa alipopelekewa balance yake, tayari ile pesa ya repair ya Range Rover ilikuwa imekatwa. Si ulisema utalipa?. So naskia alipelekewa Sh800K maana pesa yake ilikuwa kama Sh1 million, walitoa kama 200K hivi. Hapo ndo Jeshi ikaamua, tena haiko tena Jeshini tunaka pesa yetu. Saa nayo ilikuwa imeenda karibu saa tisa asubuhi, so promoter akasema kama huji basi asante sana wacha tuweke pesa yetu kibindoni, na ikawa ivo.

Chris the bass speaks

Chris Bass who was also among the events Emcee’s also went on to add a few more details to story saying;

So before that, kuna mambo ambayo yalifanyika ndo yakamlazimu Harmonize kuruka. Ile wakati anatupa pesa, alianza na pesa ya Tanzania, wakenya ni wajanja hawakupanic. Baadaye akachukua maelfu za Kenya ambazo alikuwa nayo kwa gari akaanza kuzitupa. So ile motisha ya mafans ikafanya akaanza kutupa mpaka dollars. Kumbe hakuwa amefanya hesabu vizuri kushuka kwa gari kufanya hesabu karibu laki mbili zimeenda. Sasa regrets zikaanza pale. Nipoteze pesa nimetupia mafans tena wewe unikate huku., akasema hiyo haiwezi,”

Well there you have it!

About this writer:

Pauline Syombua

Content Developer IG: Kermbua