Download More Music

Mapenzi ni Msumeno! Brown Mauzo still crying like a baby after being dumped several days ago(video)

January 17, 2019 at 11:17
Mapenzi ni Msumeno! Brown Mauzo still crying like a baby after being dumped several days ago(video)

Singer Brown Mauzo has agreed that he has been dumped but has shot down reports that he wanted to committed suicide after it happened.

“Si kweli (kunywa sumu) na tangu utotoni sijawahi ata kujaribu kunywa sumu.  Kwa sababu navyojua mimi ni makosa ni dhambi ata mbele ya mwenyezi mungu. Singetaka kwenda motoni kwa kua nimejiua haikai poa. So si kweli kitu kama hicho,”he told Mzazi Willy M Tuva in an interview. 

On why he was dumped, he said:

Download More Music
   
Loading...

“Ni issue to personal nadhani za kifamilia kila mahusiano naamini inatokea wengi tatizo kwenye mahusiano ushaona Ni kama mitihani. Ilinifikia mahali kujiskia vibaya kwa sababu ni mtu ambaye nimetoka naye mbali.”

Sponsor

Word also had it that his girlfriend went for a sponsor.

“Did she assault you?” Asked Tuva.

“Hakunipiga wala hajawahi…. Kwa kweli nikipelekwa hospitali mimi sikujijua, ni siku mbili tangu tumevurugana hivo na akaamua kuchomoka hapa kwa nyumba. Nilijaribu kumwonegelesha lakini hakuelewa nikatarajia amekasirika ile ya kawaida atarudi lakini ikwa ndo kabisa.

“So nilisikia uchungu sana, nimefeel kuna kitu kimetoka katika roho yangu. Nikaamua sasa kunyamaza maana sina namna nyingine kwa sababu simu hapokei. Nikaamua kutulia pekee yangu, sikutaka kuzungumza na watu…

“Mwili wangu ilifika wakati umeisha nguvu kabisa. Kweli nilikua na mawazo mabaya mpaka mawazo ya kutaka kujiua lakini nikaona haina maana kwa sababu watu wengi wananitegemea,” added Mauzo.

 

Loading…

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in News