Disclosed! Diamond Platinumz reveals reasons behind his disappearance in the music scene

Africa´s Simba, Diamond Platinumz, seems to be getting overtaken in the lucrative industry citing infrastructure barriers here and there as the cause.

Speaking during his ¨OneManOneMic¨ show, to Bongo 5, the superstar expresses:

Sometimes kama huku kwetu nyumbani [Africa], sometime mambo ya kiufundi ndo inatucheleweshaga.

Kwa mfano kama wakati unakuja hapa kuna gari letu moja limepata tatizo ambalo ilikuwa linaleta vifaa unaona pia nimechelewa kufunga.

While headed for the show at Geita from Kahama, one of their vehicles, carrying the necessary tools, broke down causing a small hitch for the scheduled performance.

Kama ukiangalia steji ya Kahama na ya hapa, ni tofauti kuna mambo ambayo yanatakiwa kuenda sawa.

All in all, he thanks God for the success, having to perform the show without preservation.

Lakini tunamshukuru Mwenyezi Mungu, all in all, kila kitu kimeenda sawa.

So ilibidi nileta vybe tu zile zile niperform.

So mimi nakuaga fiti.

The bongo superstar reveals how packed his schedules are revealing:

Kama nikitoka hapa, naenda airporti, naingia Dar es Salaam, naenda nyumbani, namalizia kuedit video zangu mbili.

Nikitoka hapo, naruka naelekea Nairobi.

Sometimes ni mbinu yetu ambayo huwa inatuagushaga.

Lakini tunamshukuru Mwenyezi Mungu.

 

Low key

Diamond Platinumz has had his fans questioning where he went to, having gone under in terms of hits and all.

Mi mtu wa plani, mtu wa strategies.

Unajua mi nafanya muziki kama biashara.

Chibu however reveals that he had to venture into his Wasafi media, grow it because it would help him in future as well as many more people.

Mwaka jana niliekeza mda wangu mwingi katika media.

Nilifanya muziki miaka kama tisa, hivi sa hivi ya kumi.

Mwaka jana, nikasema goja kwanza niekeze nguvu katika media, hii media itanisaidia baadae.

Ndo media saa hivi, media inafanya vizuri, inaniingizia riziki.

Fortunately, that bit is done and he seeks to bounce back into the music scene ASAP.

Nimeshamaliza media sasa hivi nimeenda shughuli zangu, naanza tena.

Kwa saa hivi nina nafasi kubwa sana, naweza kupromote record label, naeza kujipromote mimi, naweza kupromote vijana zaidi.

His music journey is now in a bid to promote his brand, his music as well as many more talents out here that need the support.

Kama Wasafi media inasupporti vitu vingi sana, ata mengine for free.

So nilikuwa nataka kutengeza platform itasaidia watu wengi zaidi, here we go now.

Kwa mwaka huu, tumeanza balaa.

Show expenses

Time and again music shows have not been easy to cater for especially financially, because crew members need pay and so does the performing artist sharing:

Aah, muziki ni strategies.

Biashara unatakiwa uwe na strategies.

Sio kila kitu mpaka tu utoe hela, wakati mwingine unapata support kutoka watu tofauti watu kama Pepsi, wote nawaheshimu na kuwashukuru.

Diamond Platinumz articulates that artists should not fully use their money to fund their projects because brands also promote the artistes.

However, none should expect that their first show will bring in income.

Rather, one should find other avenues to source their income from.

Adding that there will be couple of shows they will have to stage for free.

Na sio kila siku ya kwanza unaenda unataka utengeze hela, tengeza strategies za baadae.

Wakati mwingine sio kila show unaifanya kwa sababu unakuja kuchukua hela.

Tunapiga show nyingi sana bila kuchukua hela.

Show zingine tunapiga kwa sababu ya kuonyesha kwenye dunia kwamba, jamaa ni wasanii, Africa tunaweza.