Download More Music

Unveiled: Timeless Noel now breaks the silence of his music releases and failure to attend Bahati´s EMB rebirth

April 18, 2019 at 11:13
Unveiled: Timeless Noel now breaks the silence of his music releases and failure to attend Bahati´s EMB rebirth

Speaking to Ken Rel Bis, Celebrated Odi Dance hitmaker, Timeless Noel breaks the silence about his music releases and failure to attend Bahati´s rebirth launch.

In reference to his music silence for a while now, with his last release being ´Kanyanga Lami´, Timeless Noel says:

Mimi si msanii, mi ni dancer.

So, ngoma mi hutoa, naiwachianga nafasi i-grow.

Right now, nafocus already there is another song inakuja maybe hapo August, then iende for 1 year.

Mimi sio kama watu wengine, mna-expect nitoe ngoma 50, apana.

Kitambo nilikuwa natoa muziki mob lakini saa hii, natoa Odi Dance inapata nafasi yake inagrow, wengine nao pia watoe zao.

´Kanyaga Lami´ nikisikia inaishaisha, natoa ngoma ingine.

¨Kanyaga Lami¨ has now garnered close to 1 M views and 8,000 plus likes on You Tube.

However, how comes Timeless´ songs mostly feature Jabidii in them?

Jabidii ni jamaa nimekaa na yeye , nafeel tuko na connection poa na yeye sana.

Timeless Noel hawezi kuwa msee anahitaji, bila Jabidii.

Nimejaribu solo music kwa studio but haingii.

Lakini nikifanya na Jabidii, naskia iko fine.

It´s not a collaboration, but Jabidii anaplay an important role kwa life yangu and in my ministry.

His success

Timeless Noel dance styles have stood as his trademark since time immemorial, always emerging as a hit, how so?

Ile kitu nazingatia ni kile Wakenya wanapenda.

Ukirealize, KDF tu ndio ilikuwa creative style yangu but Odi Dance na Kanyanga Lami zimegrow sana kwa industry.

Saa hii, kuna style nimeona inagrow sana so niku-endorse tu then watu wakifanya, nafurahia.

Recent events

Speaking of his recent ground-breaking appearances in fellow celebrity gospel artistes´ events, specially Mr Seed´s ¨Made In Huruma¨ concert:

Ni God.

Ile kazi nimefanya, najua audience yangu, so na thank tu God.

Watu wa Huruma, hao ni wasee wa mtaa, ni ma-Odi.

So ukiona msee tu ord-inare amekureceive hivyo, nafeel kazi nimefanya iko poa.

Ata God angeniwachia tu wasee watano nipigie nduru, nitasema tu sawa.

So Huruma, asanteni sana for the love.

What of his failure to attend Bahati´s EMB relaunch event?

Mwaliko nilipokea but nilikuwa na date na msupa wangu.

Laughing about the question and to-be response, the artist actually chuckled:

Na unajua uki-cancel date na msupa wako atasema, ¨Now you choosing Bahati over me?¨

So ikabidi.

Baha ni mtu wangu, amekuwa support system sana.

Big Up to Bahati and the relaunch!

But sitahata tena.

Advice to artistes

What pieces of advice would the Odi Dance star leave for the music industry?

We anza tu!

Najua unataka kila kitu ikuwe poa ndio mwanze, but anza tu!

For Mr Seed´s case of massive reception during his Made In Huruma Concert over the weekend, Timeless Noel is really happy for him and motivated by his friend from Huruma.

God ako na good plans for everyone.

Msingojee, we anza tu!

God atakupea watu kama tu Mr Seed.

Ni patience tu.

 

 

Loading…

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in News