Amani

February 28, 2013 at 12:14

Artist: Hey-Z and Ramsoh
Song: Amani
Year: 2013
Language: Kiswahili

Intro:
Baba wa Midundo Jacky B
Hey-z
Ramsoh
Amani jamaa

CHORUS LYRICS:
Kabila letu sisi waga ni moja,
Na rangi yetu waga ni moja,
Taifa letu tulijenge pamoja ah,

Hakuna haja kuzozana, kutwa nzima kugombana,
Sisi sote marafiki bwana wee, (x2)
Malumbano ya nini? Hey hey hey hey!! (X2)

VERSE 1 LYRICS:
HEY-Z:
Onyesha love, onyesha upendo, onyesha peace men,
Ni hey-z na ramsoh tuko pamoja men.
Tukishikana kwa pamoja kama ndugu, maisha bila upendo
magumu,
Napopote pale hauwezi achieve, life damu adimu kama
dhabibu.
Mikono juu ishara kwa pendo letu,
Vidole juu Amani ndio jibu letu.
Heshima mob natuma kwa babu zetu, japo wengine
walituachia makovu.

Rais Jomokenyatta wa Kenya.

Julius Kambarage nyerere,
Rais Nelson Mandela,
na wengine waliopenya.
Yoweri mseven, Kwame nkurumah

Kenneth kaunda, Sir Dawda Kairaba

Hatutazima Kushoto Kulia bali Kizee twasonga mbele eeish

Hatutazami Kushoto Kulia bali kizee twasonga mbele
Bridge
Haturudi nyuma, tunasonga mbele, na tunamuomba Molla
atuwezesheee.

CHORUS LYRICS:
Kabila letu sisi waga ni moja,
Na rangi yetu waga ni moja,
Taifa letu tulijenge pamoja ah,

Hakuna haja kuzozana, kutwa nzima kugombana,
Sisi sote marafiki bwana wee, (x2)
Malumbano ya nini? Hey hey hey hey!! (X2)

VERSE 2 LYRICS:
Ramsoh:
Umesahau hatawale marafiki, tuliocheza utotonii,
Tulipendana kweli, kweli.
Umesahau hatawale majirani, tulioishi zamani toka nchi
jiranii.
Sisi sote tuwe kitu kimoja, llengo letu ni moja, Nia
yetu ni mojaaa.
Kwanza weka UKABILA pembeni, ubaguzi wa rangi,
Usiulize maswalii, Umetokea waapi?

CHORUS LYRICS:
Kabila letu sisi waga ni moja,
Na rangi yetu waga ni moja,
Taifa letu tulijenge pamoja ah,

Hakuna haja kuzozana, kutwa nzima kugombana,
Sisi sote marafiki bwana wee, (x2)
Malumbano ya nini? Hey hey hey hey!! (X2)

fanya kuipanga vizuri msela, shukrani…..
Chorus.
Tushikane kuilinda Amani- (Amani yetu)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in