Lifestyle

October 26, 2009 at 11:32

LISTEN TO ‘LIFESTYLE’

Artist: Kantai
Song: Lifestyle
Producer: Limit
Record Label: EWD

Verse 1
saa moja asubuhi naamka
shorty wangu ajifunga na shuka
nambusu, anageuka
navaa patipati ndio nifike duka
sina penny naomba jirani
shillingi tatu na sumuni ndio nadai
ashaniwai, juu mi ni Kantai
bila bong, bila dough, bila ndai
kwenda nje si kiosk napata
ni mabati na mambao zimekatwa
sa yabidi nitembee hadi Parklands
kuna matope na nyumbani sina duster
hapo njiani nakutana na Mercel
ana pyenga ya kufika hostel
hakuna noma, eih salimia N.A.T
m-show, G ashafika Westie

Chorus
lifestyle (hii ni so crazy)
nina-mess (daily my baby)
bila vako
na-diss my lady
miss my baby
apologies daily

lifestyle (hii ni so crazy)
nina-mess (daily my baby)
bila vako
na-diss my lady
miss my baby
apologies daily

Verse 2
niko Parkie nashika fegi yangu
hallo Moto, hiyo ni simu yangu
DJ Rebs hapa ndani ya bar
ameosa packo leo ye ni star
ashani-show nipitie nashangaa
ni saa mbili na boy yuko masaa
poa G, beer moja au sio
mbili tatu nne tano za mbio
saa sita nakumbuka nina dame
na-feel kinda tipsy na-feel shame
nahepa Rebs juu ye ndio nina-blame
nisha-mess juu gauge iko kwa brain
zinani-show nijikate M2
nishike maji ka bado nacheza pool
blunder nishakutana na the crew
JOB, Pavlee on the brew

Chorus
lifestyle (hii ni so crazy)
nina-mess (daily my baby)
bila vako
na-diss my lady
miss my baby
apologies daily

lifestyle (hii ni so crazy)
nina-mess (daily my baby)
bila vako
na-diss my lady
miss my baby
apologies daily

Verse 3
saa mbili jioni na-stagger
naskia mbaya juu food sijamanga
tuendelee ama tusiendelee
hallo moto? huyo ni Leng’ete
anawika amechoka kwa keja
eti shorty anajua ninalewa
tuko M2, G fika masaa
ashavuta maziwa ngata
kuwasha to the maximum bro
hadi mifuko zako ziwe broke
kalesa tunakutana na karao
mdomo kubwa inamaanisha mbao
mbao nayo inamaanisha roadi
apate shorty ameniwekea msosi
ana-trip ka dakika twenty-five
hiyo kwangu inamaanisha lullaby

Chorus
lifestyle (hii ni so crazy)
nina-mess (daily my baby)
bila vako
na-diss my lady
miss my baby
apologies daily

lifestyle (hii ni so crazy)
nina-mess (daily my baby)
bila vako
na-diss my lady
miss my baby
apologies daily

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in
Loading...