Picha Za Matukio Ya Msiba Wa Ruge Mutahaba
Siku ya Jumatano tarehe 27 mwezi wa pili Tanzania ilipoteza kijana shujaa na mchapakazi aliyekuwa Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge Mutahaba na siku ya jana amezikwa mkoani Kage...
Diamond Azidi Kuzua Gumzo Baada Ya Kuishia Nje Kwenye Kuaga Mwili Wa Ruge
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz amezidi kukamata headlines kwa matukio ambayo amekuwa akiyafanya ikiwemo Sakata la kuishia nje ya ukumbi wa Karimjee siku ya k...
Hatimaye Lady Jay Dee Aonekana Kwenye Msiba Wa Ruge
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo fleva Judith Wambura maarufu kama Lady Jay Dee ameonekana kwa Mara ya kwanza kwenye msiba wa Ruge Mutahaba. Kwa miaka mingi imekuwa jambo ...
Miriam Odemba Kuwa Mstari Wa Mbele Kusheherekea Siku Ya Wanawake Duniani
Mwanamitindo mkongwe ambaye anafanya kazi zake nchini Ufaransa Miriam Odemba amefunguka na kuweza wazi mipango yake ya kurudi Tanzania kwa ajili ya kusheherekea siku ya wanawa...
Tahiya Aachia Ngazi Kwa Mwanaume wa Hamisa Mobetto
Video vixen maarufu kama Tahiya John ambaye Hivi karibuni aliingia kwenye headlines Baada ya kuchukuliana mwanaume na Msanii Hamisa Mobetto. Tahiya na Hamisa waliingia kati...
Dully Sykes Afunguka Kukopiwa na Harmonize
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo fleva Abdul Sykes maarufu kama Dully Sykes amefunguka na kuweka wazi kuwa amefurahi Baada ya Msanii Harmonize kukopi nyimbo yake. Harmoniz...
“Wema Sepetu Hajanifundisha Tabia Mbaya”- Diana Kimari
Muigizaji wa Bongo movie Diana Kimari amefunguka na kuweka wazi kuwa Msanii mwenzake Wema Sepetu hajambadilisha tabia kama wengi wanavyodai. Siku za nyuma Wema na Diana wal...
Zari Awachanganya Mashabiki
Mwanamama Zari The Bossy anaonekana kuwachanganya masha...Mabango ya Wana BUKOBA kwa Diamond ni Kizungumkuti
Mwili wa aliyekuwa mkurugenzi wa vipindi vya Clouds radio na Clouds fm Bwana Ruge Mutahaba uliwasili siku ya jumapili katika kijiji chao huko Bukoba ambapo kabla ya kufika huk...
Maimartha kwa Jide :-Mwanamke Bora ni Mwenye Kusamehe na Huruma
Ikiwa bado mamia ya wtau wakimzonga na kumuandama mwanadada lady jay dee huku wakikumbuka maneno yake ya mwisho aliyowahi kusema kuhsuu viongozi w Clouds media group akiwemo R...
Matukio ya Kupokea na Kuaga Mwili wa Marehemu Ruge jijini Dar Es Salam
Mwili wa Marehemu Ruge Mutahaba Uliwasili siku ya Ijumaa na kupita maeneno mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam na baade kupelekwa katika hospitali ya Lugalo. Siku ya jumamo...