2face Idibia Awatolea Povu Mashabiki Kisa Mkewe.

Msanii kutoka nigeria 2face idibia amejikuta akiingia matatani na mashabiki wake wawili katika mitandao wa kijamii baada ya mashabiki hao kumvamia 2face na kumwambia kuwa amekosea sana kumtumia mke wake kama video queen katika video yake iliyotoka hivi karibuni .

download latest music    

Mashabiki hao walimvamia 2face na kumwambia uwa mke wake tayari ameshazeeka hivyo hakupaswa kuwa katia video hiyo kwa sababu una wasichana wazuri na vijana walioweza kukaa katika nafasi hiyo.

Hata baada ya kusema kuwa mwanamke huyo ni mzee kutokea katika video hiyo mpya, 2Face alimwambia kuwa hajui kitu kuhusu mwanamke huyo na kwamba yeye ndio anaemmiliki na wala sio yeye na kama kuna kitu kunamsumbua bas anamuombea mungu abadilishe roho yake.

Hii sio mara a kwanza kwa 2face kumtumia Anne Idibia ama video queen katika video zake .

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.