Abdul Kiba Atamani Kulingana na Alikiba :-

Msanii wa muziki Bongo Fleva nchi amae kwa sasa anatama na wimo wake mpya wa MUBASHARA, Abdu Kiba amesema anaaamini Kuwa kutokana na kufanya kazi na kujituma sana ipo  siku moja atafikia pale alipofika kaka yake, Alikiba kimuziki.
Msanii huyo akizungumza  hayo katika kipindi cha Clouds 360 kinachoruka Clouds media na  kusema kuwa hakuna kinachoshindikana na anajiona kufika mbali zaidi.
Chini ya jua hakuna kinachoshindikana ajuaye siri ni Mungu, ila wote tuna imani tufikewalipofika wasanii wengine kama alivyofika kaka yangu Alikiba,Ni muujiza utatokea muda wowote ni nia na ubora wa kazi zako nina imani jicho langu
linaona mbali nitafika alipofika ndugu yangu,’’ amesema Abdu Kiba.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.