Agness Azungumzia Picha Zake za Utupu na Tatoo Yake Yenye Jina la Mbasha

 

Mwanamitindo na model wa kujitegemea Agness Mmasy amefunguka na kuongelea status yake na pia jinsi ambavyo kazi ya kupiga picha za utupu inavyomuingizia pesa ya kujikimu pamoja na kwamba anasoma.

download latest music    

Mimi ni mwanafunzi ninasoma SAU , Law na niliamuakuwa modo kwa sababu ni kitu nimekuwa nikikipenda tu.na pia napenda tu kuonekana.

Akiongelea kuhusu swala lake la kupiga picha za utupu Agness alisema kuwa kwake hiyo nikama baishara kwa sababu imekuwa ikimuingizia pesa nyingi sana inayoweza kukithi mahitaji yake na hata familia yake pia.

Picha za mitandaoni kwangu ni biashara,nimekuwa nikiingiza pesa nyingi sana zaidi hata ya milioni 5 au6, ni zaidi ya millioni kumi.Pesa ambayo inaweza kunisaidia mimi na familia yangu.Siwezi kujiachia kwa milioni tano.

kuhusu kuchora tatoo yenye jina la  Mbasha katika mkono wake, mrembo huyo amesema kuwa yeye amekuwa ni  shabiki tu wa Mbasha na marafiki lakini hawana uhusiano wowote wa kimapenzi kama vile ambavyo watu weng wamekuwa wakisambaza habari.

Ni mtu ambae ninampenda na ni mtu ambae nina mkubali sana,kwaio its like i said i have to show people kuwa huyu mtu ninamkubali na ni vitu vya kawaida. na kwa upande wangu mimi hiyo inaniingizia pesa.-Alifunguka Agness alipokuwa akiongea na mwannahabari kutoka Ayo Tv.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.