Agness Masogange Afariki Dunia

Video vixen wa bongo wa muda mrefu Agness Masogange amefariki dunia muda mfupi ulopita akiwa hospitali ya  ya Mama ngoma Mwenge jijini Dar es salaam.

Mpaka sasa bado haijafahamika sababu ya kifo chake lakini inavyosemekana ni kuwa marehemu alikwa mgonjwa na kupelekwa hospitali.

download latest music    

Ni hivi juzi tu Agness Masogange alikwepa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kuweza kulipa faini baadaya kupokea hukumya ake baada ya kukutwa akitumia madawa ya kulevya.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.