Loading...

Alice wa Billnass Amtolea Povu Nandy

April 16, 2018 at 12:51
Alice wa Billnass Amtolea Povu Nandy

Mwanadada anaesadidkika kuwa ni mpenzi wa sasa wa msanii Bilnass anaejulikana kama Alice,  amemtolea maneno mazito mwanadada nandy wa kivuruge baada ya kuvuja kwa video ikimuonyesha nandy na Billnass.

Mwanadada ahuyo ambae amemtuhumu Nandy kuwa alifanya makusudi kuvujisha picha hizo na kwamba yeye ndie aliemuomba mpenzi wake amtumie picha na leo hii anakana kuwa hajui chochote kuhusu picha na video hizo.

Loading...

katika ukurasa wake wa instagram, mwanadada huyo aliandika :”ujue wakati mwingine nandy ujitahidi kujiheshimu., ulimpigia simau william na kumuomba akutumie pics zenu wakati mnadating, bila hiyana mume wangu alikutumia..lakini ww u;ivyopost zile picha  hukuridhika ukaamua bora uachie na  video  chafu kama ile, alafu unakataa na kumlaumu mume wangu  wakati iliyotumika ni simu yako.upande wako kama unaina umewini basi umetuharibia mimi na mume wangu na hata watoto wetu huko mbele, siujui watamjengea picha gani baba yao huko mbele.huwezi kufanya muziki bila kiki?naomba ukome tena ukome hasa, naomba utuache na mahusiano yetu kamayalikuwepo basi muda wako ulishapita.

Maneno ya mwanadada huyo yanakuja baada ya kuvuja na kusambaa kwa picha na video zikiwaonyesha Nandy na Billnass wakiwa faragha.Video huzo zilifanya kudhiirka kuwa wawili hao kweli walikuwa wapenzi ambapo kabla ya hapo walikuwa wakikana.

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…