Loading...

Alikiba Afika Msibani Kimya Kimya

March 04, 2019 at 08:08
Alikiba Afika Msibani Kimya Kimya

Moja ya wasanii wakubwa katika tasnia ya muzii Alikiba alifika katika msiba na kuaga mwili wa marehemu Ruge mutahaba  huku kila mmoja akiwa amesubiria kwa hamu kumuona kwa mbwembwe lakini hakufanya hivyo.

Baadhi ya mashabiki  wa wasanii hao waliamua kujudge na kusema kuwa, Sio kama alivyofika msanii mwenzake Diamond platinumz ambae aliingia kwa mbwembwe huku akiwa na walinzi wengi katika uwanja huu wa karimjee na kundi kubwa la watu   Alikiba alionekana na watu wachache huku wengine wakimuona tu tayari amekwisha fika ndani ya uwanja huo  aKkiwa ndani na meneja wake   msanii mwenzake  Ommy Dimpoz.

download latest music    

 

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…