Alikiba Azidi Kutoa Uhuru kwa Mashabiki

Mwanamuziki Alikiba anazidi kuwafanya  mashabiki zake kukaa na hamasa ya kutaka kujua ni jinsi gani matamasha yake aliyowahi kuyaangaza hao awali kwa ajili ya kufunga mwaka jinsi yatakavyokuwa kwa sababu anawapa uhuru mkubwa mashabiki kuchagua nini wanataka kuimbiwa katika matamasha hayo.

Alikiba anasema kwa tamasha la kwanza ambalo atakuweo ia msanii mkubwa Duniani, Mama Yvone Chakachaka , litakuwa tamasha la aina yake kwa sababu anataka kufunga mwaka na mashabiki zake wakiwa na furaha ya kile alichojianda

download latest music    

Uhuru unakuja zaidi ale msanii huyo alioaua kuwambia mashabiki zake wamchagulie wimbo wowote wa kuanza nao kwa sababu hii ni zawadi yao ya kufunga mwaka.

katika ukurasa wak alikiba aliandika ; shoo ya kwanza niko hapa na mama yvone tunafanya  tjnafanya set list, ungeenda tuimbe wimbo gani siku hiyo ya 22 December ?

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.