Loading...

Alikiba: “Mimi nafanya muziki mzuri Ndio maana nyimbo zangu nyingi zinapendwa na Viongozi”.

September 09, 2017 at 15:48
Alikiba: "Mimi nafanya muziki mzuri Ndio maana nyimbo zangu nyingi zinapendwa na Viongozi".

Mwanamuziki maarufu wa kizazi kipya nchini Tanzania Ali Kiba “King kiba” amedai kuwa sababu ya ngoma yake mpya ya “Saduce me” kupokelewa vizuri hadi kugusa viongozi mbali mbali wa kisiasa ni sababu ya yeye kutengeneza muziki mzuri. Alikiba amesema kuwa:

           “Muziki mzuri ukitoa kila mtu anaukubali haijalishi kwamba huyo ni kiongozi au Mheshimiwa watu wanasikiliza muziki kwa sababu ni sehemu ya maisha yao, Nimefurahi sana kwa kweli na jinsi muziki umetanuka na kufika mbali inaniongezea nguvu ya kufanya kazi nzuri ambayo nahisi itazidi kuipeleka Tanzania yetu mbele kuitangaza lugha yetu ya kiswahili”

download latest music    

Ngoma ya “Saduce me” ilitoka August 25 waka huu na kuvunja rekodi ya kufikisha views milioni 1 ndani ya saa 38, baada ya ngoma hiyo kuruka hewani viongozi mbalimbali wa kisiasa na wasanii wa muziki na bongo movies waliisifia ngoma hiyo.  Mpaka sasa ngoma hiyo in views milion 4.7 katika mtandao wa you tube.

Loading…

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment