Amber Lulu Amkaribisha Amber Rutty Uraiani

Pamoja na kwamba hapo awali mwanadada Amber Lulu aliwahi kusema kuwa jina la AMBER ameamua kumuachia  Amber Rutty ni kwamba kutokana na mambo aliyoyafanua msanii mwezie huyo yamefanya kuzalilisha jina hilo hivyo kwa upande wake hataki kusikia habari za mwanadada huyo.

Roho ya huruma na msamaha imemuingia mwanadada huyo na hata baada ya kusikia kuwa msanii huyo yuko nje kwa dhamana , amber Lulu aliandika ujumbe katika ukurasa wake wa instagram kuwapa pole amber rutty na mpenzi wake ,

download latest music    

Katika ukurasa wake wa instagram aliwka picha ya wawili hao na kuandika “karibuni uraiani ndugu zetu ,kukosea ni mwanzo wa kujifunza”

Amber Ruty na mpenzi wake ambao majina yao yamharibiwa sana baada ya kupata skendo ya kuvujisha picha na video chafu wakifanya mapenzi kinyume na maumbile  waliwekwa selo kwa muda wa zaidi ya wiki mbili huku wakiwa wamekosa dhamana ya kesi yao.

Baada ya kusota sana rumande wawili ha walipata huruma kutoka kwa mchungaji mmoja dar na ndipo walipopata watu wa kuwatolea dhamana.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.