Anaedaiwa ,Kuwa mtoto wa Zari Afunguka

Mwanadada mmoja maliyejipatai umaaruf hivi karibuni kutokana na ukweli kuwa muonekano wake umekuwa ukifanana sana na ule wa mwanamamazari amebanwa na kuulizwa kama ana mhausiano yoyote na zari the bossy kutokana na kufanana kwao.

Kupitia ukurasa wake wa instagrma upande wa Direct message, moja ya waandishi wa GPL alimfuata wanadada huyo na kumohoji baadh ya mswali kuhusu swala hilo.

download latest music    

Mwanadada huyo ambae n raia wa nchini Kenya alikataa kwanza kutoa ushirikiano kwa waandushi mpaka pale mwandishi alipoona ni baora kujitamblisha kwa nyaraka za kazi zake ndipo alipoamua kujibu maswali yake.

Martha anasema ” Mimi na Zari hatujawahi kukutana lakini kama itatokea nitapata nafasi nitakuja nchini tanzania ili kufanya mahojiano kwa kirefu na waandishi.

Hata hivyo mwanadada huyo alifanya kila jitihada za kumkimbia mwamndishi  na alifanikiwa kwa sababu hakutaka kujibu tena meseji alizokuwa akitumia.

Hata hivyo baadhia ya watu wa karibu wa mwanadada huyo wanasema kuwa hakuna uhusiano owowte kati  ya wawili hao zaidi ya kufanana tu na hata baadhi ya video zinazotumwa zisizokuwa na maadili hazjawahi kutumwa na mwanadada huyo bali kuna watu wanatengeneza akaunti feki kumchafua.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.