Aristote Azungumzia Bifu Lake na Uwoya.

Moja ya watengeneza nywele maarufu jijini ambae amepata umaarufu wae kutokana na Kuwafanya mastaa wengi kuwa na mionekano tofauti mjini Aristote amefunguka na kuzungumzia swala lake na Irene uwoya hasa baada ya watu hao kuwa na umoja wa biashara kwa muda mrefu lakini ulikuja kuvunjia baada ya aristote kuoneana kuwa mnafiki.

Aristote ambae alianza kuitwa mnafiki baada ya kuanza kuwa na mahusiano ya irafiki na Dogo Janja na mpenzi wake mpya ilhali  akiwa  na urafiki pia na Irene huyo huku wawili hao wakiwa tayari wamegombana.

download latest music    

Hata hivyo Aristote anasema kuwa kwake anafanya kazi na mtu yoyote hawezi kukata mteja kwa sababu ni adui wa mtu miwngine kwa sababu yeye anataka pesa na kufanya biashara.

Aristote anasema ”

Kiukweli sijisikii vizuri kabisa kupewa hayo majina (Yuda na mnafiki) nina watoto wanakua kesho wakisikia baba yenu alikuwa anaitwa Yuda yaani msaliti inakuwa haileti maana nzuri kabisa, lakini tangu hayo maneno yasambae mitandaoni hajawahi kuja hapa ofisini kwangu, zaidi ya kukutana naye tu mara moja.

“Pia isitoshe hii hainipunguzii kitu chochote kwa sababu naamini Uwoya siyo mtu wa kukaa na kinyongo muda mrefu, pia tatizo kubwa ni hawa wapambe ndiyo wanaomjaza maneno lakini yeye mwenyewe hana tatizo na mtu, ingawa mchumba wa Dogo Janja akija tena kutengeneza nywele dukani kwangu nitamsifia kama kawaida na Uwoya naye akija nitafanya hivyohivyo,” alisema Aristote.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.