Aristotle Ajitapa Kufanya Kazi na Diamond na familia yake

Moja ya watengeneza nywele maarufu mjini anaejulikana kama aristotle amefunguka na kuanza kujitapa kuwa kwa sasa amekuwa akifanya kazi na msanii diamond platinumz kitu ambacho kilikuwa ndoto yake ta siku nyingi na sasa imefanikiwa.

kijana huyo ambae aliwahi kufanya kazi na Irene uwoya anasema kuwa amekuwa na ndoto ya kutaka kufanya kazi na diamond kwa muda mrefu lakini ilikuwa ni kama inacheewa lakini sasa hivi anaona kuwa ndoto hiyo imetimia.

download latest music    

lakini pia aristotle akaanza na kumsifia mwanamke mpya wa diamond platinumz kwa kusema kuwa pamoja na yote mwanadada huyo ni mzuri kuliko wadada wote aliwahi kudate na diamond kwa kwamba aana ngozi nzuri haijajikunja kama watu wanavyosema, na kama wanamuona kwa picha basi wajue kuwa camera ndizo zinaharibu.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.