Loading...

Aunty Aelezea Sababu ya Kumuweka Cookie katika Filamu Yake.

March 13, 2018 at 08:46
Aunty  Aelezea Sababu ya Kumuweka Cookie katika Filamu Yake.

                                                       

Mwanadada ambae amejikita sana kwnye biashara  Aunty Ezekiel ,kwa sasa ameamua kurudi tena katika kuigiza na kuwaletea kitu kipya masabiki wake  kwa kuwaletea  filamu fupi inayokwenda kwa jina la mama , filamu ambayo itamshirikisha mtoto wake Cookie Iyobo.

Loading...

Aunty Ezekiel amefunguka na kusema kuwa filamu hiyo inategemewa kutoka hiv karibuni na anataka kurudisha mapenzi yake kwa mashabiki na kutaka kutoa kitu cha tofauti kwa sababu kutokana na hadhi yake ni lazima afanye kitu cha tofauti.

Aunty Ezekiel amesema kuwa sababu kubwa ya kumuweka Cookie katika filamu hiyo ni kutaka kuapata uhalisia wa uchungu wa mama kwa mtoto kwa sababu anaona kabisa aapoongea na Cookie anapata hisia za kweli kabisa ingawa bado ni mtoto mdogo.

amecheza kama mtoto wangu na amekuja kujaribu,kuwa sure kama anaweza kufanya kwa sababu mwisho wa siku Cookie ni mdogo sana.ila nilitamani kujaribu na kucheza nae ili nipate ile feeling ya kuwa mama na kuwa na uhalisia wa hisia na pia iniume kaka mama.

Watanzania wameshachoka kuangalia vitu vya zamani, wanataka vitu vipaya sasa.nimewatengenzea kitu kipya kutokana na hadhi yangu mimi mwenyewe ipo kivingine. now am mama kwaio nitafanya kama mama.

 

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…

#Godseeker,
I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.