Baada ya Kumtangza Mume Wake, Idris na Diamond Wamjibu Wema kwa Style Yao.

Masaa machache baada ya msanii Wema Sepetu kuweka picha akiwa na mwanaume anayesema kuwa ndie mume wake mtarajiwa, waliowahi kuwa na mahusiano na mwanadada huyo nao waliamua kuweka caption za kumsanifu wema katika kurasa zao kwa kuandika maneno yao .

Wema ambae aliamua kuwanyamazisha watu kwa kufanya hivyo , alijkuta akizua gumzo aktika mitandao ya kijamii na kuanza watu kuanza kutumia maneno hayo kama njia ya caption katika kurasa zao.

download latest music    

Katika ukuarasa wa diamond aliandika

Na katika ukurasa wa Idris aliandika

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.