Baada ya Majukumu ya Muziki, Alikiba Arudi Uwanjani

Baada ya kuzunguka sana katika mikoa na nchi mbalimbali kwa ajili ya kazi zake za kimuziki, msanii Alikiba ameamua kurudi tena katika timu yake ya Coastl union ambapo ndiko anachezea baada ya kusajiliwa.

alikiba alikuwa nje ya timu hiyo kwa muda kutokana na majukumu yake ya kazi za kimuziki huku akionekana kuweza kufanya yote kwa wakati mmoja kwa kupangilia muda wake.

download latest music    

kipindi anajiunga na timu hiyo mashabiki walipata hofu kuwa inawezekana hiyo ikawa ni njia ya kumpoteza mchezaji wao kwa sababu ataikita sana katika mpira na sio muziki lakini alikiba amaenyesha tofauti baada ya kuweza kufanya kazi kila sehemu,

Kocha wa timu hiyo anasemakuwa ni kweli Alikiba amerudi na kwamba amepewa progamu maalumu ya mazoezi ambayo kama msanii huyo ataweza kuifatilia kwa umakini basi atakuwa sawa na wachezaji wengine na hata kucheza daraja la kwanza.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.