Baba Levo Awekwa Huru na Mahakama

Msanii wa Bongo fleva na diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini Kupitia Chama cha ACT Wazalendo Crayton Chipando maarufu kama Baba Levo ameachiwa huru na mahakama.

download latest music    

Baba Levo ambaye aliingia katika upande mbaya wa sheria mwezi uliopita baada ya kudaiwa kumfanyia vurugu  Muuguzi.

Baba Levo alikuwa akikabiliwa na mashtaka matatu ya kushambulia, kufanya vurugu na lugha ya matusi dhidi ya muuguzi, Christina Gervas wa Zahanati ya Msufini.

 

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.