Batuli Amjibu Mange Baada ya Kumuombea Msamaha Baba Yake

Msanii wa bongo movies Batuli amefunguka na kumjibu Mange Kimambi kuwa pamoja na kwamba wao wamekuwa wakiumia na taarifa za kuumwa kwa baba mzazi wa Diamond Platinumz haimanishi kuwa hata huyo diamond hajui habari za baba yae lakini swala linakuja kuwa kuna watu wangapi ambao wamtelekeza wazazi wao lakini hawajawashikia mabango na kuwakumbusha wajibu wao.

Batuli anasema kuwa mange angeachana na habari hizo kwa sababu kuna watu kibao mitaani kwahiyo wasimuonee Diamond kwa sababu ni mwanamuziki na ndio maana wameweza kumuandama na swala hilo.

download latest music    

katika ukurasa wake wa instagram, batuli an;liandika hivi “

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.