Bella amjibu mwijaku kuhusu Zilla, Asema Atakuwa Mwanamke Aliyewahi Kushare nae Bwana

Mwanadada miss bella amefunguka  na kumjibu mwijaku ambae alimsema vibaya kuwa amefanya kosa kubwa sana kuamua kuweka mahusiano yake wazi na msanii abae kwa msasa ji raehemu Godzill ailhali wakati wa uhai wake msanii huyo hakutaka kuweka mahusiano hayo wazi.

Mwijaku alisema kuwa hiyo ni siri  ambayo marehemu akutaka kuisema na kwa imani za dini ni mbaya sana kusema mambo  hayo kama mwenyewe hakuwa anataka kufanya hivyo.

download latest music    

Hata hivyo miss bela ambae alikuwa msanii ana mpenzi wa msanii hyo anasema kuwa hajui  kitu kuhusu msanii huyo lakini pia anasema kuwa mpaka mwijaku ameamua kumsea hivyo ni kwa sababu anahisi kuwa mwijaku amekuwa na wivu nae baada ya kujua yeye anatembea na  na Godzilla.

Hata hivyo MissBella anasema kuwa hamjui mwijaku na waa hajui kama ni mwanamke au mwanaume hivyo  anahisi kuwa mwijaku sio mwanaume na amekuwa na wivu nae.

huyo kaka kwanza simjui , sijui ni mkaka lakini simjui,niombe msamaha kwa felling zangu mimi , au huyo mwijaku mimi nashare nae bwana, huyo Mwijaku ni mwanamke au mwanaume, …..ni mwanaume (kwa mshangao ) …unataka kuniambia Mwijaku ni mwanaume..Hawezi kuwa mwanaume huyo.

Bella ambae alishindwa hata kuaga karibu la mpenzi wake , alionekana mdhoofu kwa sababu alikuwa ndio ametoka hospitali alikokuwa amelazwa kwa sababu presha ilikuwa iko chini sana.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.