Ben Breaker Akanusha Uhusiano na Shoga La Kizungu

Model na dancer maarufu Bongo Ben Breaker amefungukia tuhuma za kuwa na Mahusiano na mzungu ambaye ni shoga.

Wiki chache zilizopita kuna picha ilisambaa Kwenye mitandao ya kijamii iliyomuonyesha Ben Breaker akiwa kitandani na mzungu ambaye alionekana kama mwanaume jambo lililozua gumzo kubwa.

download latest music    

Baada ya mashabiki kumnyooshea kidole na kumtuhumu kwa kuwa shoga, picha nyingine ilivujishwa Mtandaoni iliyomuonyesha mzungu yule akiwa ni mwanamke mwenye Sura ya kiume tu.

Lakini tangu sakata hilo Ben Breaker hajawahi kuongelea tetesi hizo Lakini jana Kwenye mahojiano na kituo kimoja cha habari alifunguka na kuweka wazi kuwa hajali maneno ya watu.

Ben amedai kuwa anajua kuwa binadamu lazima wataongea hata ingekuwaje kwaiyo hakuona umuhimu wa kujieleza kwa watu kuwa labda yule mzungu ni mwanamke au mwanaume au yeye ni shoga au si shoga bali aliwaacha wafikirie walichokitaka.

https://www.instagram.com/p/Bn6Y7cXHLDf/?utm_source=ig_share_sheet&igshid=16vxqhoynzd4j

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.