Ben Kinyaiya Afunga Ndoa

Mtangazajhi na muingizaji maarufu nchini , Beny kinyaiya ameamua kufunga pingu za maisha na mpenzi wake kimya kmya .

Picha za Beny na mke wake zilianza kusambaa katika mitandao ya kijamii kwa kasi akiwa  katia tukio hilo la kufunga ndoa na kuacha gumzo katka mitandao ya kijamii

download latest music    

 .

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.