Loading...

Bwana Misosi Aibuka , Asema Hajafulia ila Anafanya Maisha Upande Mwingine

May 16, 2018 at 10:28
Bwana Misosi Aibuka  , Asema Hajafulia ila Anafanya Maisha Upande Mwingine

Moja wa wasanii wa kongwe katika muziki wa bingi fleva Bwana Misosi ambae alitamba sana kipindi cha nyuma hasa na ule wimbo wake wa  Nitoke Vipi ambao ulimpa heshima kubwa sana  na hata kuanza kufanya kazi  na wasanii kutoka nje ya nchi kama chamelion, redsan na wengine wengi.

Mwanamuziki huyo ambae alikuwa kumia kwa muda mrefu sana na kwa hali ya  kawaida msani mkongwe anapoonekana kuwa kimya huwa inasemekana kuwa soko jipya la muziki linakuwa limewafunika na kwamba wasanii chipukizi wanakuwa wamewazidi kete wasanii hao.

Loading...

Wengi wa wasanii wakongwe wamekuwa wakiktaa kushushwa kwa staili hiyo na kusema kuwa sio kuwa machipukizi wanakuwa wanawazidi kiti lakini wanakuwa wnakaa kuangalia game linavyoedna na kulinganisha na zamani kisha kuchagua njia mpya ya kuingilia.

Ndivyo ilivyokuwa kwa bawana misosii amabe anasema kuwa yeye hajafulia lakini, amekuwa kimya kwa muda mrefu kwa sababu kuna maisha upande wa pili inabidi yaendelee hivyo amekuwa kimya kwa sababu anafanya mambo mengine.

hakuna tatizo lolote ni vile tu tunakuwa tunaangalia maisha side b,unajua umri unakwenda na maisha pia yanabadilika, na majukumu yanaongezekakwaio ni lazima uangalia future pia,lakini shida ni kwamba mashabiki wakiona umekaa kimya basi wanajua kuwa umefulia lakini sio kweli  watu tupo na maisha yanaendelea upande wa pili.

 

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…