Casto Dickson Atangaza Ndoa

Mtangazaji wa Siz kitaa ya Clouds Tv anatarajia kufunga ndoa na video queen maarufu Tunda ambae wamekuwa katika mapenzi kwa muda sasa.Casto anasema kuwa kabla ya mwaka huu kuisha lazima atamuoa mwandada huyo.

Unajua nimekuwa na wanawake tofauti sana lakini kwa tunda nimekuta vitu tofauti sana,kwangu naona anafaa kuwa mke wa mtu  tofauti na watu wa nje mnavyomuona. na nitamuoa kabla ya huu mwaka haujaisha.

Kuhusu kuwa na mwanamke aliyepita katika mahusiano na wanawake wengi, Casto anasema kwake yeye anaanzia pale alipoanza na Tunda na wala haangalii kule nyuma alkopita kwa sababu hata yeye pia alishakuwa na wanawake wengi.

download latest music    

Alafu kila unapokuwa na mahusiano na mwanamke na ukataka kujua wanaume alikuwa nao yatakushinda.unachotakiwa kuangalia ni pale mnapoanzia tu. Kwani hata mimi nilishakuwa nao wengi tu kabla ya lukutana na Tunda.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.