Loading...

Chote unachohitaji kujua kuhusu ugonjwa mpya hatari unaoenea Tanzania

April 19, 2017 at 14:56
Ugonjwa

kuna ripoti zimekuwa zikitambaa Tanzania ya kwamba kuna ugonjwa mpya ambao ni hatari unaoenea kwa kasi.

Na kweli kunao ugonjwa kama ilivyoelezwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk lakini serikali imeweza kuukaba usitie madhara mengi kwa wananchi.

Watazame wawili hao wakieleza zaidi kwenye hii video:

 

Leave a Reply

Be the First to Comment!

avatar
wpDiscuz

in News
Loading...
Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi