Cyrill Kamikaze Amejibu Tuhuma Za Kurusha Picha Ya Uchi Ya Mpenzi Wake Feza Kessy

Mwanamuziki wa Bongo fleva, Cyrill Kamikaze amefunguka kuhusu tuhuma zinazomkabili za kuachia picha utupu zinazomuonyesha maungo yake ya ndani mpenzi wake Feza Kessy.

Wiki chache zilizopita mashabiki walimjia juu staa wa Bongo fleva Kamikaze baada ya kuweka picha ya mpenzi Feza kwenye mitandao ya kijamii. Katika ukurasa wake wa Instagram Cyrill aliweka picha ya Feza akiwa kaachia maziwa yake kitendo kilicho wakasirisha watu wengi huku wakimtuhumu kwa kumdhalilisha Feza.

download latest music    
Picha Feza Iliyozua Utata

Kwenye mahojiano aliyofanya na kituo cha televisheni cha  East Africa, Cyrill Kamikaze alifunguka yafuatayo kuhusiana na picha hiyo:

Kwanza kabisa Feza ni msanii kwa iyo ile pica imekaa kisanaa zaidi kwaiyo ile ni sanaa Fulani alafu isistoshe sidhani kama ile picha ina ubaya huo alafu sikutegemea kwanza kama watu watachukulia hivyo maana mimi biliona kama picha ya kawaida kwa sababu wanazungumzia wameona maziwa lakini mimi sikuona hayo maziwa yaliyokuwa nje lakini mimi naamini watu waliamua kuongeza chumvi na kutaka kukuza hilo jambo lionekane kubwa alafu yeye alikuwa fresh na ile picha alafu mimi pia niliiona fresh ila Watanzania kama kawaida yao walitaka kuyakuza yawe makubwa, isitoshe mwisho wa siku huwezi kumfurahisha kila mtu. Halafu aiwezi kumdhalilisha Feza yeye ndio aliyepiga picha akanitumia mimi nikamuomba niposti akakubali lakini ile picha kavaa nguo kabisa maana hapa bongo kuna watu hawavai nguo kabisa wanapiga uchi itakuwa Feza aliyevaa koti”.

 

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.