Diamond Ajitangaza Kuwa Single.

Mwanamuziki mkubwa na mwenye jina kubwa afrika na duniani kwa ujumla kutoka Tanzania Diamond Platinumz ameamua kuweka wazi maisha yake ya sasa ya mahusiano na kusema kuwa kwa sasa hana mahusiano na mwanamke yoyote.

Diamond ambae amekuwa akisemwa kwa kuwa na mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti ameandika katika pag yake ya snapchat na kusema kuwa kwa sasa yeye ni single boy.

download latest music    

Ukiachana na kuwa amekuwa akitamaniwa na wanawake wengi sana , inawezekana ikawa nimojaya njia aliyoamua kuitumia ili kuwoanyesha baadhi ya wanawake kuwa kwa sasa yuko free na anatafuta mwanamke wa kuwa nae katika mahusiano.

Diamond ni moja ya wasaniiwanaoongoza kuwa na msululu wa wasichana ukiachana na wale ambao amekuwa akiwakana lakini wale tu mabao walikuwa wakijulikana kwa uwazi kutokana na kuyaanika mahusiano yake.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.