Diamond Alikuwa Hajui Kuimba ;-Mr,Misifa

Aliyewahi uwa meneja wa msanii Daimond platinumz kipindi anaanza muziki, Mr Misifa amefunguka na kusema kuwa kipindi diamond anamfuata na kutaka amsimamie alikuwa hajui kuimba kabisa lakini alimkubali na kuanza kufanya nae kazi.

Hata hivyo Mr misifa anasema kuwa kwa sababu alikuwa hajui kuimba hakumkataa lakini aliamua kumuweka pembeni wa muda wa miaka miwili ili kumtengeneza kbala ajaanza kutoka na wimbo wake wa kamwambie.

download latest music    

Papa Misifa ndie aliekuwa meneja wa kwanza wa msanii Diamond ambae ndie aliemtoa katika game na hata katika wimbo wae wa kwanza wa Kamwambie alitokea katika video hiyo, na yeye pia amekuwa moja ya watu wanaojivunia sana mafanikio ya msanii huyo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.