Loading...

Diamond Hajawahi Kunisaidia :-Wastara

October 09, 2018 at 08:30
Diamond Hajawahi Kunisaidia :-Wastara

Mwanadada wastara juma amefungukan a kukanusha tetesi kuwa maneno yanayosamba katika mitandao kuwa amekuwa akisaidiwa na Diamond Platinum kila mara anapokuwa anapatwa na matatizo hasa ya ugonjwa unaomsumbua.

Akiongea na moja ya waandishi wa habari, Wastara anakanusha taarifa hizo na kusema kuwa pamoja na kwmaba mara nyingi amekuwa akiomba msaada sana kwa Diamond Platinumz lakini hakuna hata siku moja ambayo mwanadada huyo amepata jibu la maana kutoka  kwa Diamond.

Loading...

Hapana Diamond hajawahi kunisaidia kiukweli  kabisa na ingawa mara nyingi nimekuwa nikipata shida au nikikwamba huwa ninamtumia salamu   na kuwasiliana nae kila mara lakini hajawahi kunisaidia hata kunijibu tu zile salamu zangu hata kama amaepata ujumbe wangu , kwaio hajawahi kunisaidia kabisa.

Hata hivyo wikiedn iliyopita msanii huyo alitoa pesa nyingi kwa ajili ya vijana na kima mama  wa Tandale ikiwa kama sehemu ya kurudisha shukrani kwao.

Share

Comments

  1. Daaaaah

  2. Kwani lazima?

  3. hayatuhusu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…