Diamond , Hamisa Kukutana Dubai

Wale wanaosemekana kuwa ni mahasimu wakubwa baada ya kukorofishana kwa muda mrefu na hata kutupiana maneno katika mitandao ya kijamii  wanasemekanwote kuwa katika eneo moja huku kila mashabiki akitaka kujua nini mwisho wao endapo wawili hao wataweza kuona sehemu mbaimbali za jini hilo.

Diamond na Hamisa wamebaki kuwa na uhusiano wa mama na mama kwa mtoto wao mmoja wa kiume ambaye alileta migogoro sana kipindi cha nyuma.

download latest music    

Hata hivyo wawili hao wanaweza pia kuwa wamepanga kukutana katika jiji hilo ingawa kila mmoja kwa sasa amekuwa ajitingaza kuwa yupo katika mahusiano na mtu mwingie.

katika kurasa zao za snapchat kila mmoja kwa wakati wake aliweza kujitangaza kuwa yupo katika jiji la Dubai na hii kufanya mashabiki kuinua macho na masikio juu kutaka kujua nini kinaweza kuendelea hapo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.