Loading...

Dk.Mengi Amesema Yuko Tayari Kushiriki Chochote Katika Matibabu ya Ruge :-J.Mhavile

February 22, 2019 at 12:29
Dk.Mengi Amesema Yuko Tayari Kushiriki Chochote Katika Matibabu ya Ruge :-J.Mhavile

Mkurugenzi wa ITV na Radio One, Joyce Mhavile amefunguka na kusema uwa pamoja na kwamba kumekuwa na ushindani wa kibiashara katika media mbalimbali lakini hii haifanya kushidwa kusaidiana katika matatizo mbalimbali.

Akiongea asubui ya leo atia kipindi cha 360 na clouds media, Joyce anasema kuwa familia yake ya ITV wako tayari kufanya chochote kile ili kuhakikisha kuwa wanapata pesa kwa ajili ya kuhakikisha matibabu ya mkurugenzi wa Clouds media yanapatikana.

Loading...

Joyce anasema uwa pamoja na yote, kumeundwa kamati ya kusaidia kuchangia pesa hiyo na akiwa kama mmoja ya watu wa media amekuwa msatri wa mbele katika kusaidia kamati hiyo.

Hata hivyo Joyce anasema kuwa , alipotoa taarifa kwa mmiliki wa Vituo vya Itv na radio one mh raginald mengi alisema kuwa yuko tayari kufanya lolote pale atakapoambiwa kufanya ambacho amati itakuwa imeamua ili kufanikisha zoezi hilo.

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…