Dudu Baya Achafua Hali ya Hewa, Awataja Wanaosemekana ni Mashoga

Msanii wa muziki anaejulikana sana kwa tabia yake ya ubabe  na kukosoa kila anachokiona kuwa hakija kaa sawa amefunguka na kujikuta akisapoti kampeni ya mh mkuu wa mkoa ya kutokomeza mashoga kwa kutaja list yake ambayo anaijua yeye  ya watu wanaotoka katika industry ya muziki/

dudubay ambae anaonekana kujiamini sana na kile anachokiongea anasema kuwa hata kama wanaweza kuwapma watu hao kwa madaktari basi itakuwa vizuri zaidi lakini yaya tayari anao uhakika wa swala hilo na kusema kuwa kama hawatakuwa na tatizo hilo basi yeye atabeba adhabu yao ya miaka 0 jela.

download latest music    

Dudu Baya nasema ‘leo ni  muda muafaka wa kutaja list ya mashoga wanaopatikana kwenye vyombo vya habari waliotakwa na mheshimiwa , mtu wa kwanza B-dozen twangaza twizzy, mtu wa pili ni haris kapiga na wa tatu ni sam misago, wa nne ni perfecto na mtu wa tano ni kwisah mti mlaini. mh hawa wakapimwe na madaktari wakikutwa wana marinda basi mimi nitafungwa miaka 30.”

Mh makonda alitangaza kampeni hiyo baada ya kuonekena kuzidi kwa biashara hiyo ambayo imeanza kuwa kubwa hata katika ktandao ya kijamii na kuwa kama biashaa halali kwa wanaume wakati ni swala lililo kinyume na maadili ya kitanzania.hata hivyo mrejesho wa mheshimiwa ni kwamba alishaanza kupokea majinia kutoka kwa watu mbalimbali.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.