Dudu Baya Atangaza vita na Mange Kimambi

Msanii Dudu baya amefunguka tena na kutangaza vita na wmanadada mwanaharakati katika mitandao ya kijamii na kumwambia kuwa hata siku moja asiinglie maswala ya kuwatetea mashoga katika mitandao ya kijamii na wala asiseme kuwa kampeni ya kukomesha mashoga iachwe.

mange kimambi ambae amekuwa akipinga swala la kuwakamata mashoga huku ikisemwa kuwa hiyo ni biashara haramu, anasema kuwa inaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa biasharaya utalii kwa sababu  kuna nchi zinakuja huku ilhali nchini mwao ni kitu halali.

download latest music    

Hata hivyo swala hili linakuwa kubwa kwa mange na dudubaya baada ya dudubaya kuweka sapoti yake kwa kuamua kuwataja baadhi ya watu wanaohusika na biashara hiyo kwa kuwataja hadharani kabisa.Hivyo basi hata mange alipouwa akipinga swala hilo ni sawa na kuwa amepinga sapoti ya Dudu baya pia.

mange , mange , mange kima*** siwezi kukushangaa ukitetea mashoga kwa sababu hata watoto wakeo pia wanasoma shule za mashoga hivyohiyo, when you touch me, u touch god so dont mess up,

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.