Loading...

Esma Akiri Kumkumbuka Hamisa Mobetto

January 21, 2019 at 06:37
Esma Akiri Kumkumbuka Hamisa Mobetto

Dada wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Esma Platnumz ameibuka na kudai kuwa amemiss sasa Mzazi mwenzake na Kaka yake Hamisa Mobetto.

Esma ambaye amewahi kuwa na urafiki na Mobetto ameweza wazi kuwa mbali ya kuwa wifi yake Lakini aliwahi kuwa rafiki mzuri sana kwake hivyo anakuwa anamkumbuka sana.

Loading...

Kwenye mahojiano aliyofanya na Gazeti la Ijumaa, Esma  alisema kati ya watu ambao huwa akikaa anawamisi, mmojawapo ni Mobeto kwa kuwa alikuwa ni rafiki mzuri kwake ingawa watu wengi hawalijui hilo.

Sijasema hivi kwa kutafuta kiki jamani ila nimeongea ukweli kutoka moyoni. Misa (Mobeto) alikuwa ni rafiki mzuri sana kwangu ingawa siku hizi kuna watu kwenye mitandao wanamuaribu na amekuwa tofauti na mwanzo”.

Urafiki wa Esma na Mobetto ulifikia kikomo mara Baada ya Diamond kumkataa Mtoto wa Mobetto na kusababisha ugomvi kati ya panda hizo mbili.

Share

Comments

  1. Lol

  2. mwanamke anapenda kiki huyu

  3. kuuliza tu mbona umeamua kufunga hayo wakati shemeji yenu ametoka tu introduction

  4. watajua wenyewe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…