Esma Ashindwa Kujizuia Kufurahia Mahaba ya Mdogo Wake

Dada wa msanii Diamond Platinumz , Esma Platinumz anaonekana kuvutiwa na mahusiano ya mdogo wake Diamond Platinumz na Tanasha .wawili hao ambao wamkuwa wakitrend sana katika mitandao ya kijamii kutokana na  penzi hilo kushamili sana.

katika ukurasa wake wa instagram, mwanadada huyo aliweka picha ya kaka yake akiwa na mwanamke huyo na kuandika “shoga angu sio kwa hisia hizo za busu,  hapo ndipo ninapanza kummisi my new babe.ila mapenzi raha sana , mdogo wangu umenawiri umependeza, ataaye kataa mchawi na ninajua hakuna anayekataa ila wivu tu.”

Mpaka sasa Diamond hajatoa tarehe rasmi ya kufunga ndoa ingaw hapo awali alisema ndoa ingekuwa february 14.

download latest music    

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.