Loading...

Esma Platnumz Amuweka Wazi Mpenzi Wake Mpya (picha)

November 30, 2018 at 09:15
Esma Platnumz Amuweka Wazi  Mpenzi Wake Mpya (picha)

Dada wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Esma Platnumz amemuanika mpenzi wake  Mpya kwa Mara kwanza kwenye mitandao ya kijamii tangu Atangaze mahusiano mapya.

Miezi michache iliyopita Esma aliachana rasmi na aliyekuwa mume Wake ndoa Petit Man Wakuache Baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka kadhaa.

Loading...

Esma aliweka wazi kuwa sababu ya kuvunja ndoa yao ni pale alipogundua kuwa baba watoto wake huyo amechepuka na mwanamke mwingine na ameishia kumpa mimba.

Esma ametumia social media kumuanika Mpenzi Wake Mpya ambapo ameweka picha zake na kusindika na maneno matamu ya kimahaba akiwa ameandika:

Roho yangu furaha yangu kipenzi changu umeniambukiza ugonjwa wa mapenzi naona Kama dunia nzima tuko wawili tu”.

Share

Comments

  1. Hmmmmm

  2. Anakaa poa ???

  3. Eye candy

  4. Hawa wamama hawachelewi yaani daah

  5. mbona mtoto mdogo tu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…