Esma, Rommy Waongelea Kuwa Blocked na Zari

Watu wa karibu na msanii Diamond Platinumz , Rommy Jones ambae ni DJ wake na pia dada wa msanii huyo wamefunguka na kusema kuwa kwao kuona zari kama mama wa watoto wa Diamond akikataa kuhusika na kitu chochote katika familia hiyo hawaoni kama kuna shoda ilhali kwa sasa diamond yupo katika mahusiano na mtu mwingine.

Esma anasema kuwa pamoja na yote yaliyopita kuhusu Zari kwa sasa kaka yake uko na tanasha na hilo kwao ndio mhimu zaidi “hatuwezi kuingilia mahusiano ya Diamond kwa sasa zaidi ya kumpa sapoti tu, kwa sasa yuko na tanasha na sisi tunamsapoti

download latest music    

Rommy ambae amekuwa mtu wa karibu na msanii huyo anasema “sioni kama kuna tatzo lolote kuwa blocked na Zari, ila kikubwa tunachokiangalia ni furaha ya diamond hayo mengine kwetu sio muhimi sana “

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.