Fezza Kessy Akumbwa Na Tetesi Za Usagaji

Mwanadada Fezza Kesyy ambae ni Radio presenter na msanii pia amekumbwa tena na tetesi za kuwa msagaji baada ya kupost picha katika ukurasa wake wa instagram na kuandika caption iliyoleta utata kwa wasomaji na watu wanaomfuata.Kwa muda mrefu sasa mwanadada huyo alikuwa akituhumiwa kwa tabia hiyo ya kuwa msagaji na kwamba amekuwa akijiingiza kwenye mahusiano na baadhi ya wanawake wenzie na kuharibu baadhi ya mahusiano ya marafiki zake.

Hata hivyo, msanii huyo ambae alishawahi kuongelea swala hilo katika baadhi ya vituo mbalimbali vya habari huko nyuma , alisema kuwa yeye kuwa na muonekano wa kiume mara nyingine ni style ya maisha tu aliyoichagua ingawa watu wanamtuhumu kwa tabia hiyo mbaya.

download latest music    

Katika ukurasa wake wa instagram aliandika caption ambayo baadae alikuja kufuta ndipo baadhi ya mashabiki kuhoji kwanini aliamua kuandika na kufuta haraka ilhali maneno aliyoandika hapo mwanzo kidogo yalikuwa na utata wa kama kuthibitiisha tabia iyo.

“Throwback#GetYourselfAGirlWhoCanDoBoth#NationalComingOutday” aliandika Fezza Kessy maneno hayo na baada ya muda mfupi kuyafuta.

Feza Kessy  ambae kwa sasa nafanya kazi vizuri ya kuwa moja kati ya wasanii bora wa kike , lakini pia anafanya kazi ya utangazaji wa Choice Fm, aliwahi kushiriki katika shindano  la Big Brother Africa akiwakilisha Tanzania pamoja na mwenzie Nando , lakini hawakushinda shindano ilo.

Feza Kessy anamtoto mmoja.Alipotoka Big Brother aliingia katika mapenzi na mmoja wa washiriki wenzie ambapo walikaa kwa muda mrefu katika mahusiano  kufikia hatua mpaka ya kutangaza ndoa, lakini mambo hayakukaa sawa na kufanya wakaachana.Hata hivo kwa sasa alisema yupo katika mahusiano ambayo hataki kuyaweza wazi kwa sababau alijifunza mambo mengi hasa baada ya kuyaweka wazi mahusiano yake yaliyopita.

Fezza Kessy ni mwanadada na msanii anaeonekana kuwa imara siku zote kwa muonekano hata anapoongea uonekana yuko imara na maneno yake,  inawezekana kuwa muonekano wake wa kiume mara nyingine ndio unaofanya watu wasemae kuwa ni msaagaji au labda maneno hayo yana ukweli ndani.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.