Gadner Aweka Picha Akiwa na Jide Miaka Kadhaa Iliyopita

Mtangazaji wa Clouds Media ,gadner ameweka picha katika ukurasa wake wa instagram akiwa na mwanadada jay dee ambae alikuwa mke wake miaka kadhaa nyuma na kisha kupeana talaka.

Gadner amefanya hivyo kama kutimiza zoezi linaloendelea wa sasa katika mitandao ya kijamii linalohusiana na kuonyesha picha za zamani , ambapo kwa upande wa mtangazji huyo aliona sio mbaya kuweka picha hiyo na mkewe wa zamani.

download latest music    

Hata hivyo picha hiyo ilishangaza watu kidogo kwa sababau wawili hao zilikuwa haziivi ivyo kuwekwa kwa picha hiyo imeleta taswira kuwa wawili hao wanaweza kuwa wamemaliza tofauti zao.

 

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.