Gigy Money Aapa Kuzaa na Mtoto wa Zari ili Kuipata Heshima ya Zari

Mwanadada Gigy money ameiapiza nafsi yake kuwa katika maisha yake anataka kuzaa na mtoto wa kwanza wa Zari wa kiume ili aweze kuapata heshima kutoka kwa zari kama binti yake mkwe na hiyo itamfanya ari aweze kujishusha kwake.

Sasa zari mimi nakuahidi kuwa lazima nizae na mwanao wa kwanza ili wew uwe bibi wa mwanangu ndio ataniheshimu nadhani ,a na alafu yeye atakuwa mama mkwe wangu na hatokaa aamini  nitakapopita na mwanae wa kwanza na kuzaa nae.

Gigy Money amekuwa akisema kuwa mwanamama zari amekuwa na dharau sana hasa kwa wtanzania na kuwa amekuwa akiwahibu vibaya kutokana na hali yake ya kujiita bossy lady wakati hata pesa zenyewe sio yeye amekuwa akitafuta bali ni pesa za kupewa na wanaume.

download latest music    

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.