Loading...

Gigy Money aeleza kinachomfanya apunguze unene

June 19, 2017 at 16:11
Gigy Money aeleza kinachomfanya apunguze unene

Kuna wale ambao wanadhani kuwa panda shuka za maisha ndo zimesababisha Gigy Money kupunguka kimwili lazini ukweli ni kuwa mrembo huyo anapungua kwa hiari yake.

Gigy Money alipata umaarufu kwa kuonyesha umbo wake wa kuvutia kwa mtendao ya kijamii, alikua na miraba ya kuwakosesha washikaji usingizi.

Gigy Money

Mrembo huyo sasa amepunguza unene na baadhi ya watu wanadhani kuwa anaugua lakini ukweli wa mambo ni kuwa mrembo huyo anapungua ile kumfurahisha mpenzi wake.

Gigy aliongeza kuwa mwonekano wake mpya ndio unaomfaa na unaoendana na umri wake mchanga, alieleza kuwa mwili mkubwa kwake haumuonyeshi uhalisia wake.

“Mimi ni msichana mdogo, hivyo kuwa na mwili mkubwa siyo poa, lakini pia namridhisha mpenzi wangu Mo J, anapenda nikiwa hivi, anasema ndiyo navutia zaidi,” alisema Gigy Money.

 

Leave a Reply

Be the First to Comment!

Notify of
avatar
wpDiscuz

in Entertainment
Loading...

Ultimate keyboard ninja dedicate to bring you the juiciest stories in blogosphere