Loading...

Gigy Money Asema Yuko Tayari Kumzalia Moj Hata Watoto Wanne

July 23, 2018 at 11:27
Gigy Money Asema Yuko Tayari Kumzalia Moj Hata Watoto Wanne

Mwanadada Gigy Money ambae kila siku amekuwa haishiwi ku wa na skendo katika mitandao  ya kijamii amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yee na mzazi mwenzie mo ja wako pamoja na wako vizuri hakuna ugomvi na kama mo jay atataka watoto wengine yuko tayari kumzalia hata watoto wannne,

Hapo mwanzo wawili hao walikuwa katika mgogoor mkubwa na mpaka kufikia hatua Gigy money kusema kuwa mtoto huyo sio wa Mo Jay bali ni wa mwanaume mwingine ambae yeye mwenyewe alimtaja kwa jina la Stan.

download latest music    

Gigy money  na mo jay  wamekuwa katika misuko suko hivi karibuni na kufikia hatu aya kugombana mpaka kutupiana vitu nje , huko Gigy Money akimsema na kumtusi sana mo jay katika mitandao ya kijamii.

Hata hivyo mwisho wa siku hayo ni mapenzi na ndio maana sasa wap pamoja kwa ajili ya kulea mtoto wao

 

 

 

 

Loading…

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment