Loading...

Gigy Money Awafunda Wanaotamani Kuzaa.

December 19, 2018 at 08:09
Gigy Money Awafunda Wanaotamani Kuzaa.

Mwanadada Gigy Money amefunguka na kuwahasa wasichana wanaotaka kuzaa kisa fulani kazi bila kujipanga na kuwa na uhakika kuwa wanataka kuzaa.katika ukurasa wake wa instagram, Gigy Money anasema kuwa ni lazima kwanza   kujipanga kiamisha kabla ua kuamua kuzaa.

Gigy money anasema kuwa wasichana wengi wamekuwa wakidanganywa kuhusu kuzaa na wanaume wanaotaka kuzaa nao na kujifanya wanasema namzalia fulani wakati siku zote hakuna mtoto wa baba bali mtoto huwa ni wa mama tu.

Loading...

Hata baba akikimbia ni vigumu sana mama kuamuacha mtoto, siku zote ataangaika nae ili kufankisha malezi yake, na siku zote watoto wanahitaji zaidi malez ya kisaikolojia na wala sio pesa kama wanawake wengi wanavyodhania.

Gigy money anaandika ujumbe huo huku akisema kuwa kwa sasa yeye ameiva kwa yale anayoyapitia hivyo alishajifunza na ndio maana anataka kuwasaidia na wengine.

Share

Comments

  1. Hujadanganya…

  2. facts only

  3. dadangu hawa wasichana hata uwaambie aje hawasikii

  4. kwa raha zao

  5. Mtoto ni gharama

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…