Haikuwa ndoa ilikuwa Attention ;-Malkia careen afunguka

Ile ndoa iliyokuwa imetrend wiki hii ikisemekna kuwa ni ndoa halali kati ya Careen Gadner na Petit haikuwa ndoa baliilikuwa ni kutengeneza muamko wa watu kukaa tayari kwa ajili ya kitu kipya alichotaka kuwaletea mashabiki wake.

Akiongea kwenye leo tena, careen anasema kuwa haikuwa ndoa bali ilikuwa attention ya wimbo tu.

download latest music    

ilikuwa attention ili watu wakae tayari kwa ajili ya ngoma yangu mpya, haikuwa  kiki pia, nilikuwa naogopa sana familia yangu kwa sababu sikutaka wazione picha zangu ndio maana petiti alizitoa za kwake.

nilianza ghafla tu kumchukua petiti kwa sababu tayari watu walishaanza kuwa natoka na petit na ili kuua ile stori ikabidi tutoe video ya washa.

Hivyo careen anawathibitishia mashabiki wake kuwa hakukuwa na ndoa wala mahusiano yoyote kati yake na Petit.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.