Hamisa Atikisa Maonyesho ya Fashion Nchini Marekani.

Mwanadada Hamisa mobeto ambae kwa sasa yuko nchini Marekani kwa takribani wiki ya tatu sasa, ameendelea kufanya vizuri akiwa nchi hizo za watu hasa baada ya kuonekana akufanya yale aliyokuwa amepanga kuyafanya mabayo ni makbwa kwa ajili ya kujenga jina lake lakini na sanaa yake kwa ujumla.

Hamisa ambae alianza na kufanya show mbalimbali nchini humo na hata baadae kufanya video yake na kutoa wimbo huo akiwa huko huko amefanya mazuri zaidi baada ya kushiriki katika moja ya fashion show kama model katika nchi hiyo.

download latest music    

Mashabiki wanazidi kupata moyo kuhusu mwanamuziki huyo kwa kuzingatia kuwa kumekuwa na maneno mengi ya kumdidimiza mwanadada huyo bila kujali kuwa kwa sasa ameamua kufanya kazi zaidi na kutokusikiliza maneno katika mitandao ya kijamii.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.